Well jambo Well jambo Author
Title: Bobby Shmurda ahukumiwa miaka 7 jela
Author: Well jambo
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa kwenda jela miaka 7. Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka yaliyokuwa yanamkabili ya ...
Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa kwenda jela miaka 7.

Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki  silaha kinyume  cha sheria, Japo alidai kuwa alilazimishwa na wakili wake kukubali mashitaka hayo.

Hata hivyo mwanzo alikuwa amehukumiwa miaka 5 lakini hakukubali kwasababu rafiki yake, Chad “Rowdy Rebel” Marshall alikuwa amehukumiwa miaka 12 kwahiyo ikabidi aongezewe ili rafiki yake apunguziwe, wote wamahukumiwa miaka 7 na mahakama.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top