Well jambo Well jambo Author
Title: Ciara na Russell Wilson wanategemea mtoto wao wa kwanza
Author: Well jambo
Rating 5 of 5 Des:
Ciara na Russell Wilson are expecting. E! News wameripoti kuwa wanandoa hao wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza lakini wa pili kwa ...
Ciara na Russell Wilson are expecting.

E! News wameripoti kuwa wanandoa hao wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza lakini wa pili kwa Ciara ambaye mtoto wake wa kwanza alizaa na rapper Future.
 Russell Wilson na Ciara waliwahi kufunguka kuwa walikubaliana waifanye mapenzi hadi watakapo funga ndoa ambayo waliifunga mwezi julai mwaka huu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top