Well jambo Well jambo Author
Title: Eminem aachia wimbo mpya, aahidi ujio wa album mpya
Author: Well jambo
Rating 5 of 5 Des:
Eminem amewapa mashabiki wake zawadi ya Birthday. Siku mbili baada us kufikisha miaka 44,  Eminem ameachia wimbo mpya “ Campaign Speech...
Eminem amewapa mashabiki wake zawadi ya Birthday.
Siku mbili baada us kufikisha miaka 44,  Eminem ameachia wimbo mpya “Campaign Speech” 

Pia Eminem kupitia Twitter yake ameandika kuwa anaandaa album mpya huku akiwatuliza mashabiki na wimbo huo mpya wa dakika nane.
 
“Don’t worry I’m working on an album! Here’s something meanwhile.” Ameandika.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top