Madai ya Nicki Minaj kumwagana na Meek Mill yalianza
kuvuma tangu Agosti, mwaka huu lakinijuzikati yalitokea mazingira ya
kudhihirisha ni kweli penzi kati ya wawili hao halipo tena.
Kudhihirika huko kumekuja baada ya wadau wa Lebo ya Muziki ya Tidal akiwemo
Beyonce na mumewe Jay Z na TI kujumuika pamoja kwenye chakula cha usiku ambapo
licha ya Meek kuwa mmoja wao, hakuonekana na badala yake Nicki alifika peke
yake.

Post a Comment