Well jambo Well jambo Author
Title: VIDEO: Diamond Platnumz alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016
Author: Well jambo
Rating 5 of 5 Des:
Mwimbaji Diamond Platnumz kutoka Tanzania alikuwa kwenye list ya waliotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa ka...

Mwimbaji Diamond Platnumz kutoka Tanzania alikuwa kwenye list ya waliotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg Afrika Kusini.

Itazame hii video hapa ujionee staa huyo alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016.


ULIIKOSA HII YA WIZKID ALIVYOPOKEA TUZO YA BEST MALE ILIYOKUWA IKIWANIWA NA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA






About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top